Back to home
Watu sita wa familia moja wafariki baada ya gari walilokua wanasafiria kutumbukia mtoni Murang’a
video
C
Citizen TV (Youtube)October 26, 2025
3h ago
Watu sita wa familia moja wamefariki kufuatia ajali iliyotokea baada ya gari walimokuwa wakisafiria kutumbukia ndani ya Mto Kiama kaunti ya Murang’a. Familia hiyo ilikuwa ikirejea nyumbani kutoka sherehe ya kulipa mahari maeneo ya Kiambu. Ajali hiyo inafikisha idadi ya waliofar





