Back to home
Ibada maalum ya jumapili yafanyika nyumbani kwa marehemu Raila Odinga
video
C
Citizen TV (Youtube)October 26, 2025
3h ago
Ibada maalum ya jumapili imeandaliwa nyumbani kwa marehemu aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga. Ibada hiyo iliyoongozwa na askofu wa kiangalikana wa dayosisi ya Bondo David Kodia ilihudhuriwa na familia, waumini wa kanisa la kianglikana, jamaa na majirani wa Odinga. Katika mahubir




