Back to home
Mabadiliko ya tabianchi yaathiri kilimo cha mpunga Pwani
video
C
Citizen TV (Youtube)October 27, 2025
2w ago
Mabadiliko ya tabianchi yametajwa kuwa changamoto kubwa katika uzalishaji wa mpunga eneo la pwani hasa kaunti za Taita Taveta,Kwale na Kilifi licha ya kaunti hizo kuwa na mazingira bora ya ukuzaji wa mpunga. Kulingana na utafiti uliofanywa na shirika la KARLO taifa la Kenya limek




