Back to home

Maelfu ya watahiniwa wa gredi ya sita na ya tisa waanza rasmi mitihani yao ya tathmini ya kitaifa

video
N
NTV Kenya (Youtube)
October 27, 2025
11h ago
Maelfu ya watahiniwa wa gredi ya sita na ya tisa wameanza rasmi mitihani yao ya tathmini ya kitaifa. Shughuli hiyo imeonekana kuanza kwa utulivu katika kaunti nyingi huku maafisa wa elimu wakitoa hakikisho la usalama na kuonya vikali dhidi ya udanganyifu wa mitihani. Subscribe