Back to home
Watu watano wafariki kwenye visa tofauti vya mauaji Machakos na Nakuru
video
C
Citizen TV (Youtube)October 27, 2025
2mo ago
Watu watano wamefariki kwenye visa tofauti vilivyotokea kaunti ya Machakos na Nakuru. Kwenye kisa cha Machakos, mwanamume mmoja aliyemuua rafikiye wa kike kwa kumkata panga alipigwa na umati hadi kufa huku mjini Naivasha, familia ikiomboleza tukio ambapo baba mmoja aliwaua wanawe
Advertisement
Multiple Deaths Reported in Separate Incidents in Mai Mahiu, Machakos, and Nakuru - October 2025
Five people lost their lives in separate murder incidents in Machakos and Nakuru counties. In Machakos, a man was fatally beaten by a mob after he allegedly killed his girlfriend with a machete. In a tragic incident in Mai Mahiu, a father reportedly killed his two children before taking his own life. That event has sent ripples through the community. Another disturbing discovery caused fear in Lurambi after the body of a young girl was found in a septic tank.
Baba ajitoa uhai baada ya kuwaua watoto wake wawili Mai Mahiu
KTN News (Youtube)
Video
Hofu Lurambi baada ya mwili wa msichana kupatikana kwenye shimo la maji taka
KTN News (Youtube)
Video
Mkasa Mai Mahiu: Baba awaua wanawe wawili kisha kujinyonga
KTN News (Youtube)
Video
4 stories in this topic
View Full CoverageAdvertisement





