Back to home
Waziri wa zamani Fred Matiang'i aongoza ujumbe kumfariji Mama Ida
video
C
Citizen TV (Youtube)October 28, 2025
8h ago
Waziri wa zamani Fred Matiang’i aliungana na viongozi wa Gusii kutoka Kaunti za Kisii na Nyamira kumtembelea Mama Ida Odinga kumfariji baada ya kifo cha mumewe, Raila Odinga.





