Back to home
EACC yarudisha ekari 17 za ardhi ya msitu wa Karura zenye thamani ya Sh2.8 bilioni
video
C
Citizen TV (Youtube)October 28, 2025
14h ago
Tume ya kupambana na ufisadi nchini EACC imerudisha ekari 17 za ardhi ya umma kutoka msitu wa Karura kwa shirika la huduma za misitu nchini. Ardhi hii ya thamani ya shilingi bilioni 2.8 ilihusishwa na waziri wa zamani hayati JJ Kamotho. Mahakama ya mazingira na ardhi sasa ikiagiz




