Back to home

Msafara wa Jipange na Viusasa umemaliza ziara ya Meru, Isiolo, Tharaka Nithi na Embu

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 28, 2025
14h ago
Msafara wa Jipange na Viusasa umekamilisha ziara zake maeneo ya Meru, Isiolo, Tharaka Nithi na Embu ambapo maelefu ya mashabiki walijishindia zawadi mbalimbali.