Back to home

Mirriam Chepkemoi awaleta pamoja kina mama 180 Narok kupitia mradi wa ‘KICK FOR HEALTH’

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 28, 2025
22h ago
Amekuwa tumaini la faraja hasa kwa akina mama waliostaafu na walio na miaka 50 na Zaidi. Mirriam Chepkemoi mkaazi wa Narok amekuwa akiwaleta pamoja kina mama takriban 180 kwa mazoezi ndani ya timu nne za soka chini ya mradi wa ‘KICK FOR HEALTH’. Kundi hilo hukutana kwa mazoez