Back to home

Wakazi wa Navakholo wamteketeza mshukiwa wa mauaji ya mtoto wa miaka mitano

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 28, 2025
7h ago
Wakaazi wenye hamaki katika eneo la nanderema eneo bunge la Navakholo kaunti ya Kakamega wamemteketeza hadi kufa mshukiwa wa mauaji ya mtoto wa miaka mitano