Back to home

Idara ya uhamiaji yaahidi kuwasajili watu wa jamii Wapare kutoka eneo la mpakani la Taveta

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 30, 2025
1w ago
Idara ya Uhamiaji imetoa hakikisho kuwa jamii ya Wapare kutoka eneo la mpakani la Taveta kaunti ya Taita Taveta wanapata vitambulisho vya kitaifa