Back to home

Kinara wa PLP Martha Karua asema Wakenya watapinga sheria tata

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 30, 2025
7h ago
Kinara wa Chama cha Peoples Liberation Party Martha Karua amesema kwamba Wakenya watajitokeza kisheria kupinga miswada iliyopitishwa kuwa sheria na rais William Ruto ukiwemo ule wa udhibiti w matumizi ya mtandao. Akizungumza kwenye kongamano la kuangazia uongozi wa nchi na mashir