Back to home

Timu za Migori Youth na 3K zote zakabana koo

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 30, 2025
4h ago
Migori Youth ililazimishwa sare ya bao moja dhidi ya 3K Fc kwenye mchezo wa supa ligi uliochezwa uwanjani Awendo Green Stadium.