Back to home

Kenya imeorodheshwa katika nafasi ya tisa kati ya timu 40

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 30, 2025
4h ago
Timu ya Kenya ya unyanyuaji uzani kwa wachezaji wenye ulemavu wa macho imeendeleza kukusanya medali zaidi kwenye mchuano wa dunia unaoendelea nchini Uturuki.
Kenya imeorodheshwa katika nafasi ya tisa kati ya timu 40 (Video)