Back to home
Msafara wa jipange na Viusasa umeingia kaunti ya Murang'a
video
C
Citizen TV (Youtube)October 31, 2025
8h ago
Msafara Wa jipange Na Viusasa umeingia kaunti ya Murang'a Kwa kishindo, wakazi walijitokeza kujumuika Na Watangazaji Wa inooro fm na Radio citizen katika shamrashamra za kuadhimisha miaka minane ya Viusasa




