Back to home

Maafisa wa usalama wanawake waliostaafu watuzwa

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 31, 2025
8h ago
Aliyekuwa mama wa taifa mama Ngina Kenyatta ametunukiwa tuzo ya heshima kwa jukumu lake la kupigania ujumuishwaji wa wanawake katika huduma za usalama za Kenya. Alitambuliwa katika sherehe za mwaka huu za staara ya wazee zilizofanyika katika uwanja wa Ulinzi complex jijini Nairo