Back to home

Mwanaume asombwa na maji ya mto Sakini katika eneo la Vota Machakos

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 31, 2025
8h ago
Mwanamme mmoja mwenye umri wa miaka 70 amepoteza maisha baada ya kusombwa na mafuriko katika eneo la Vota, kaunti ya Machakos usiku wa jana.