Back to home

Aliyekuwa Jaji Mkuu David Maraga ameukuosoa uongozi wa Rais Wiliam Ruto

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 31, 2025
8h ago
Aliyekuwa jaji mkuu David Maraga ameukuosoa uongozi wa Rais Wiliam Ruto akisema unapeleka taifa hili visivyo akiwataka wakenya kuwa makani katika uchaguzi ujao na kuchagua kiongozi anayeweza kukabiliana na changamoto wanazopitia