Back to home

Rais William Ruto ameahidi ujenzi wa uwanja katika kaunti ya Busia

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 31, 2025
8h ago
Rais William Ruto ameahidi ujenzi wa uwanja katika kaunti ya Busia. Akiwa kwenye ziara ya kikazi katika eneo bunge la funyula,Rais Ruto amesema ni kinaya kuona kwamba licha ya kaunti ya busia kutoa wachezaji mahiri duniani hakuna uwanja wa hadhi ya kitaifa eneo hilo.