Back to home

Walaghai wa SHA wanaswa

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 31, 2025
6h ago
Washukiwa wanne wanaodai kuwa maafisa wa mamlaka ya afya ya jamii (SHA) wamekamatwa kwa tuhuma za kumtapeli mtu mmoja shillingi 251,000