Back to home

Washukiwa 4 wa utapeli wa SHA wazuiliwa na polisi

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 1, 2025
1d ago
Mlalamishi aliyelaghaiwa zaidi ya shilingi laki mbili unusu na watu waliojidai kuwa maafisa wa Mamlaka ya Afya ya Kijamii (SHA) amesimulia jinsi alivyodanganywa na watu hao ambao badala ya kumsajili kwa SHA, walimpora zaidi ya shillingi 280,000 kutoka kwa akaunti yake ya benki. A