Back to home

Gachagua asifia Raila, awahimiza viongozi wa mlima Kenya kufuata maadili

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 2, 2025
11h ago
Aliyekuwa Naibu Rais , Rigathi Gachagua, amewataka wapiga kura wa eneo la Mlima Kenya kuzingatia maadili ya viongozi wanaowachagua, akisisitiza umuhimu wa kuwapuuza wanasiasa wanaopiga kelele za kisiasa bila maendeleo. Gachagua akizungumza kwa mara ya kwanza hadharani tangu kifo