Back to home

Waziri wa elimu awataka wahadhiri warudi kazini baada ya mgomo

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 2, 2025
11h ago
Waziri wa Elimu Migos Ogamba amewataka wahadhiri na wafanyakazi wa vyuo vikuu kukubali malipo yao kwa awamu mbili ili kurejelea masomo vyuoni. Waziri Ogamba akisema hatua hii inaonyesha ari ya serikali kulipa pesa walizoafikia walizoafikiana. Na kama francis mtalaki anavyoarifu,

More on this topic

CS Ogamba Urges Striking Lecturers to Accept Phased Payments Amid Resignation Calls - November 2025

Amidst an ongoing nationwide lecturers’ strike, Education Cabinet Secretary Julius Ogamba has urged striking university lecturers and staff to return to work. The minister proposed paying their dues in two installments and asked them to accept a phased payment plan for the 2017-2021 collective bargaining agreement arrears. The strike at public universities has led the Central Organization of Trade Unions (COTU), via its Coast Chapter, to demand CS Ogamba's resignation. The Cabinet Secretary has dismissed this call.

3 stories in this topic
View Full Coverage