Back to home

Baadhi ya wakazi wakashifu wanaoeneza siasa za chuki Nyamira

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 3, 2025
6h ago
Wakazi wa kaunti ya Nyamira wamewashtumu baadhi ya wawaniaji wa chaguzi ndogo pamoja na wafuasi wao kwa madai ya kuendesha kampeni zenye vurugu, na kuwatumia vibaya vijana hata uchaguzi unapokaribia.