Back to home

Rais mteule wa Tanzania Samia Suluhu kula kiapo cha uongozi

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 3, 2025
6h ago
Rais mteule wa Tanzania Samia Suluhu Hassan taapishwa leo jijini Dodoma, huku taifa hilo likiwa katika hali ya taharuki ya machafuko ya baada ya uchaguzi mkuu uliokumbwa na utata.