Back to home

Kampuni ya maji Taita Taveta kusambaza maji nyanda za chini

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 3, 2025
6h ago
Serikali ya kaunti ya Taita Taveta inaendelea na mikakati ya kuhakikisha usambazaji wa maji maeneo ya nyanda za chini kama vile Mwatate na Voi unafanyika kwa wakati ufaao.