Back to home
Vijana washauriwa kujisajili kuwa wapigakura Garissa
video
C
Citizen TV (Youtube)November 3, 2025
6h ago
Viongozi kutoka kaunti ya Garissa wamewahimiza vijana ambao wamefikisha umri wa kupata vitambulisho kuvichukua na kujisajili kuwa wapiga kura .





