Back to home
Safaricom yaadhimisha miaka 25, wateja wapewa zawadi kubwa
video
C
Citizen TV (Youtube)November 3, 2025
8h ago
Kampuni ya safaricom imeadhimisha miaka 25 kwa uzinduzi wa ushindani utakaotoa fursa kwa wateja wake kujishindia zawazi mbalimbali.





