Back to home

Murang’a Seal yapata ushindi muhimu dhidi ya KCB

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 3, 2025
8h ago
Timu ya ligi kuu ya taifa ya kandanda Murang'a seal inatarajia kutumia ushindi wao wa hivi majuzi dhidi ya kcb kama njia ya uzinduzi wa msimu bora baada ya kuanza vibaya. Murang'a ilikuwa imeshinda mechi moja pekee katika mechi sita kabla ya ushindi wa bao 2-1 dhidi ya KCB.