Back to home
Walimu wapinga kuhamishiwa SHA kutoka MINET
video
C
Citizen TV (Youtube)November 4, 2025
4h ago
Muungano wa walimu KNUT tawi la pwani sasa unatishia kwenda mahakamani kuzuia mpango wa serikali wa kuhamisha walimu wote kutoka bima ya matibabu ya MINET, hadi ile ya SHA.





