Back to home

Kampeni za kumtafuta MCA wa Mumbuni Kaskazini, Machakos zimenoga

video
N
NTV Kenya (Youtube)
November 4, 2025
4h ago
Kampeni za kutafuta mwakilishi wadi wa Mumbuni Kaskazini, Kaunti ya Machakos, kwenye uchaguzi mdogo unaotarajiwa tarehe 27 mwezi huu sasa zimenoga baada ya vyama mbalimbali kuongeza juhudi za kuwanadi wagombea wao. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and