Back to home
Serikali ya Kirinyaga yarejesha ardhi iliyokuwa imenyakuliwa
video
C
Citizen TV (Youtube)November 4, 2025
4h ago
Serikali ya Kaunti ya Kirinyaga imefanikiwa kurejesha umiliki wa zaidi ya ekari 800 za ardhi ya umma zenye thamani ya takriban shilingi bilioni moja ambazo zilikuwa zimetwaliwa na watu binafsi.





