Back to home
Wahadhiri wasisitiza kulipwa 80% ya mishahara
video
C
Citizen TV (Youtube)November 4, 2025
3h ago
Muungano wa wahadhiri uasu na ule wa wafanyikazi wa vyuo vikuu vya umma kusu sasa wanasema watarejea tu kazini endapo watalipwa asilimia 80 ya malipo na serikali. Wahadhiri hawa waliogoma kwa siku ya 48 leo wamesema endapo serikali itawapa pesa hizi, basi watasubiri asilimia 20 i




