Back to home
Mwalimu mkenya auawa kwa risasi kwenye ghasia za Tanzania
video
C
Citizen TV (Youtube)November 4, 2025
3h ago
Familia moja katika mtaa wa huruma hapa nairobi inaomboleza kifo cha jamaa yao aliyepigwa risasi wakati wa ghasia za uchaguzi nchini tanzania. John Okoth Ogutu aliyekuwa mwalimu katika shule moja jijini Dar es Salaam alikohudumu kwa miaka 10 alipigwa risasi na kuuawa. Ben kirui a





