Back to home

Vifo vyafika 34 kwenye maporomoko ya Marakwet

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 4, 2025
3h ago
Idadi ya watu waliofariki kutokana na maporomoko ya ardhi elgeiyo marakwet imefikia watu 34. Hii ni baada ya watu wawili kutolewa leo katika eneo hilo la mkasa. Watu zaidi wanahofiwa kuzikwa kwenye taka na tope za mkasa huo huku familia ambazo hazijapata wapendwa wao zikikita kam