Back to home

Nairobi United yashinda 3–1, yapanda nafasi ya sita KPL

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 4, 2025
8h ago
Timu ya Nairobi United ilirejea kutoka kipigo chao cha 3-0 dhidi ya Sofapaka na kuwafunga Bandari fc 3-1 kwenye mechi pekee ya ligi kuu ya kenya iliyochezwa kwenye uwanja wa dandora jumanne alasiri. Mechi hiyo ilikuwa ngumu katika kipindi cha kwanza kilichomalizika kwa sare ya 1-