Back to home

Vijiji vya Eneobunge la Tiaty kaunti ya Baringo vimeanza kukumbatia matumizi ya vyoo

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 5, 2025
3h ago
Vijiji vya Eneobunge la Tiaty kaunti ya Baringo vimeanza kukumbatia matumizi ya vyoo, hatua ambayo imechangia kupunguza magonjwa yanayosababishwa na kujisaidia ovyo vichakani.