Back to home
Chama cha walimu KUPPET cha tishia kupiga kambi katika ofisi za TSC
video
C
Citizen TV (Youtube)November 5, 2025
1w ago
Chama cha walimu KUPPET kinatishia kupiga kambi katika ofisi za tume ya kuajiri walimu TSC kote nchini kushinikiza serikali kuwaajiri walimu 20,000 wanaohudumu chini ya kandarasi.





