Back to home

Wakazi wa Lamu wapinga ubinafsishaji wa fukwe za Bahari

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 5, 2025
2h ago
Wakazi wa Lamu wamepinga vikali hatua ya serikali ya kutaka kubinafsisha fukwe za bahari na visiwa vya Lamu. Wakazi hao wanaishinikiza serikali kuboresha miundo msingi ya baharini ili kuinua uchumi wa Lamu