Back to home

Wapenzi wazuiliwa kwa siku 10 kuruhusu uchunguzi kwa kuhusika kwa kupotea kwa Caroline Mokeira

video
N
NTV Kenya (Youtube)
November 5, 2025
2h ago
Maafisa wa DCI kuwazuilia Tobia Kellar pamoja na Gladys Namarome kwa siku kumi ili kufanya uchunguzi zaidi kwa kuhusika kwa kupotea kwa Caroline Mokeira Oktoba 17 kwa njia tatanishi. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans.