Back to home

Mabingwa watetezi Kenya Police FC 1waipiku Sifapaka 1-0 kwenye mechi ya ligi kuu nchini

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 5, 2025
1w ago
Mabingwa watetezi Kenya Police Fc hatimaye wametoka eneo la hatari baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Sofapaka katika mechi ya pekee ya ligi kuu ya Kenya iliyochezwa kwenye uwanja wa police sacco mjini Nairobi.