Back to home

Mtoto Letishia Ambuyieka aliibiwa Jumamosi wiki jana huko Bungoma

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 6, 2025
2h ago
Familia Moja kutoka Kijiji cha Mkuyuni eneo Bunge la Bumula kaunti ya Bungoma inahangaika baada ya mwana wao wa wiki mbili kupotea.