Back to home
Viongozi wa dini waongoza ibada ya maombi Chepsaita Turbo katika maandalizi ya mbio
video
C
Citizen TV (Youtube)November 6, 2025
2h ago
Msaidizi wa Rais Farouk Kibet ametoa wito kwa Wakenya kuwekeza katika afya, elimu na vipaji huku maandalizi ya mbio za Chepsaita Cross Country zinazotarajiwa kufanyika Desemba 6 yakiendelea.





