Back to home

Malava: IEBC yathibitisha kwamba Edgar Busiega bao yumo kwenye orodha ya wagombea

video
N
NTV Kenya (Youtube)
November 6, 2025
2h ago
Muungano wa upinzani unaoongozwa na aliyekuwa Naibu wa Rais Rigathi Gachagua umepata pigo baada ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) eneo bunge la Malava kuthibitisha kuwa mgombea wao Edgar Busiega, ambaye chama chake kilitangaza kumwondoa, bado yumo kwenye orodha ya wagomb