Back to home

Zaidi ya wakazi 5,000 Kitui kunufaika na ukarabati wa bwawa la kihistoria la Thokoa

video
N
NTV Kenya (Youtube)
November 6, 2025
2h ago
Zaidi ya wakazi 5,000 wa wadi ya Kyome Thaana, eneo bunge la Mwingi West kaunti ya Kitui, watanufaika na ukarabati unaoendelea wa bwawa la kihistoria la Thokoa lililojengwa enzi za ukoloni. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by K