Back to home

Simba Arati atangza azma ya ODM kuendeleza ushawishi waliokuwa nayo Raila ikiwemo Mlima Kenya

video
N
NTV Kenya (Youtube)
November 6, 2025
2h ago
Naibu mwenyekiti wa Chama cha ODM Simba Arati ametangaza azma ya chama hicho kuendeleza ushawishi aliokuwa nao Hayati Raila Odinga, ikiwemo maeneo ya mlima Kenya. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news