Back to home
Ripoti ya IMLU yaonyesha ongezeko la mauaji katika mikono ya polisi
video
C
Citizen TV (Youtube)November 6, 2025
1h ago
Shirika la kutetea haki za kibinadamu la IMLU sasa linasema wakenya zaidi wameendelea kuuawa kwenye seli za polisi huku visa 17 vikichunguzwa mwaka huu pekee. Ripoti hiyo pia ikisema watu wengine 59 waliuawa na polisi kwenye visa vya utumizi wa nguvu kupita kiasi. Shirika hili sa





