Back to home

Mtoto wa miaka 3 unusu ateketea hadi kufa katika moto Nyeri mjini

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 6, 2025
2h ago
Mtoto wa miaka mitatu unusu ameteketea hadi kufa katika kijiji cha Ha -iriga eneo bunge la Nyeri mjini, baada ya moto wa asubuhi ya leo kuteketeza nyumba kumi za kukodisha