Back to home

Mamia ya vijana wapewa fedha za kuanzisha biashara kwa mradi wa Nyota Kakamega

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 7, 2025
4h ago
Mamia ya vijana wamepewa ufadhili wa kuanzisha biashara kwenye mradi wa Nyota katika hafla ambayo imefanyika kakamega. mradi huo wa miaka mitano, unaolenga vijana zaidi ya laki nane nchini, ulianzishwa na serikali ya kenya na kudhaminiwa na benki ya dunia.