Back to home
Busia: Wito watolewa kwa jamii kuwakumbatia watoto waliozaliwa na jinsia mbili, huntha
video
N
NTV Kenya (Youtube)November 7, 2025
4h ago
Wito umetolewa kwa jamii kuwakumbatia watoto waliozaliwa na jinsia mbili yaani huntha ili kuwaepusha na unyanyapaa na dhulma mbalimbali ambazo huwakabili huku wengi wakikumbwa na msongo wa mawazo.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as t




